Isaiah 2:9-11


9 aKwa hiyo mwanadamu atashushwa
na binadamu atanyenyekezwa:
usiwasamehe.


10 bIngieni kwenye miamba,
jificheni ardhini
kutokana na utisho wa Bwana
na utukufu wa enzi yake!

11 cMacho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa
na kiburi cha wanadamu kitashushwa,
Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo.

Copyright information for SwhKC